Sehemu ya pili
Waeledi hawa wasanaa wamechangia Kwa uchapishaji wa makala ya lugha ya ukombozi ilihali wao ni kizao wa kiAfrika ..swali ni je , tabia hii ilianza wapi ? Jibu nimoja wangwana ..”mwana hufuata kisogo cha nyina” kwani vijidagaa hawa Hawaii kunjwa walipokuwa wangapi wabichi…kwani taifa nyingi za Africa wanatumia king’eng’e Kwa kila solo mule darasani..wakakifikuza Kiswahili nakulizika katika kaburi la sahao nahivyo basi kuwaunda wale wasaani wadogo nahivyo mwishowe wana twesa katika saana ya wabeberu nakukitakambi. Pia mimi na wewe twaweza kuchangia pia kuifukuza Kiswahili Kwa kutulia lugha ya mitaani alimarufu “sheng”bna hivyo kukiboronga lugha Safi ya Kiswahili.
Humu jijini nahata mule kitongojini vijana wameweza kuadhirika Kwa utumizi wa lugha hii .iliyo chipuka ili kuiangamiza Kiswahili .inasemekana lugha hii ulitokana na vijana kitaka kuificha mazungumzo Yao Kwa walio washinda umri Jambo ilio anzaa kama utani sasa imekuwa ugonjwa usiokuwa na tiba…..
Lugha yetu Historia yetu, asanteni kwa kuendeleza Lugha ya Kiswahili kwa kukaza kamba na kufanya uendelezi wake kwa udi na ambari, mkono wa tahania kwa kina Ustadh
LikeLiked by 1 person
Sina budi ila kukushukuru msela …asante Kwa kunipa mkono katika chapisho hili langu lakwanza mola asikupite kwakweli
LikeLike
Wazo njema bw. Evans
LikeLike
Nashukuru dada sina mengi ila kukushukuru kwatena natena …🙏
LikeLike