BIG READ

KISWAHILI KITUKUZWE

Sehemu ya pili Waeledi hawa wasanaa wamechangia Kwa uchapishaji wa makala ya lugha ya ukombozi ilihali wao ni kizao wa kiAfrika ..swali ni je , tabia hii ilianza wapi ? Jibu nimoja wangwana .."mwana hufuata kisogo cha nyina" kwani vijidagaa hawa Hawaii kunjwa walipokuwa wangapi wabichi...kwani taifa nyingi za Africa wanatumia king'eng'e Kwa kila solo… Continue reading KISWAHILI KITUKUZWE